
Ule Msee Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Ule Msee - King Kaka (Rabbit)
...
ule msee
oooh yo
oooh yo
ule msee
oooh yo
jack jack on the beat
bado king, bado kaka
bado mi ni u u u (ule msee)
anafanya vitu zikae tu bado
nakushow ah mambo bado
bado class, bado fresh
bado mi ni u u u (ule msee)
nakushow, mambo bado, alright, mambo bado
Niko na dame
kwanza shake ka shakira
ndio nijue mi ni u u u (ule msee)
after hio
clean up niko busy kwa mirror
naadmire figure amedunga dirak
breako
kaka klothing na ecko
tightness
back left juu mi ni (ule msee)
na window chini ndio niwave kama moi
haters
macho ngumu bado hawatoboi
madame wananidai wamama pia
ati nismame next year ju mi ni (ule msee)
reason
wananilike tu ivo
mi huwa msimple hakuna maringo
marapper wanatick wengine kiwaru
eti nitoe diss, ju mi ni (ule msee)
wanatamani wawe ka Mimi
ju mi Niko juu wao chini
bado king, bado kaka
bado mi ni u u u ule msee
anafanya vitu zikae tu bado
nakushow ah mambo bado
bado class, bado fresh
bado mi ni u u u ule msee
nakushow, mambo bado, oy,
mambo bado
Niko juu clubu, where you be at
ati meza imeandikwa reservere
(ule msee)
ahh tuko ndani VIP,
madame wananiulizia CID,
na hope nyi ni legal see ID,
uliniona wapi see IG
ana followers kibao, score pit ya Thao
akiwa mmoja wawili pita nao
na sio Rambo, but napepeta
hakuna mchele, wanaenda na (ule msee)
viraisi, ni rahisi kwa hii mziki na ni easy
marapper wanacram usiku mzima
mi benzima bado bima king bado jina
charts haibambi nawakilisha kaka empire
number one kambi
bado king, bado kaka
bado mi ni u u u ule msee
anafanya vitu zikae tu bado
nakushow ah mambo bado
bado class, bado fresh
bado mi ni u u u ule msee
nakushow mambo bado okay oy mambo bado
Niko shush manze, tight na kochi
na anajua mi ni u u u (ule msee)
Kingston nayo anajua mi ni irie
mnanipenda, nawapenda kama wyre
na Alaine, jitoe kwa my lane asubuhi Niko kwa plane ju mi no u u u (ule msee)
pilot washa ndege hi hostess
ako willing number yake niposses
ju mi huwa ni keeper oriji oh I mean keeper origi (ule msee)
so bado kaka number one unadanganywa
na wasee numbers don't
na nina bahati ka mama's boy
wao hawana bahati ju mi ni (ule msee)
mi ni mlaini yani Mr mistari walio debate naongeza sukari
bado king, bado kaka
bado mi ni u u u (ule msee)
anafanya vitu zikae tu bado
nakushow ah mambo bado
bado class, bado fresh
bado mi ni u u u (ule msee)
nakushow mambo bado oy mambo bado
<<by ghost writer j 0732233209>>