![Milele ft. Tokodi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/0D/EE/rBEeM1jGRsyAKhpoAACkuhDZzbc890.jpg)
Milele ft. Tokodi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Milele ft. Tokodi - King Kaka (Rabbit)
...
Aya,aya,aya
mi nataka niishi na wewe milele
mi nataka ni densi na wewe milele
uwe wangu beibe niwe wako mimi *2
milele milele *king kaka*milele milele
sitaki ulie incase ulie nakubembeleza
wewe wangu hivo ndiyo mungu alinitengeneza
big up to my mum alinifunza mi kupenda
big up pia chuki lakini siitumi kama vile BODMAS sijai tumia tena na mafisi wanataka kuninyanganya hawatambui bibilia watakudanganya sikua na dollars cash au naira akanishow no man is an island ningekua dini angekua muumini
nimeona hii mapenzi niilete mbele ya umati tuexchange vows
soma verse ya katikati
mi nataka niishi na wewe milele
mi nataka ni densi na wewe milele
uwe wangu beibe,niwe wako mimi*2
milele milele milele milele
sitaki ulie incase ulie nakubembeleza
wewe wangu hivo ndio mungu alinitengeneza duty ni yangu mami nikulinde
na ukona smile ya dunia ingine
mapishi ya sternley
fashion ya Italy
mapenzi ya tanga
sura ya Kigali
hawatoshi waambie diamond na zari am so lucky aki! Nani alikutuma?
kuongezea ukona sense of humour
anajua ukweli ata ghafla umwagie kaluma
nimeona hii mapenzi niilete mbele ya umati tuexchange vows
soma verse ya katikati
waambie wazazi mi naja malkia mi nshampata *4
mi nataka niishi na wewe milele mi nataka ni densi na wewe milele
uwe wangu beibe niwe wako mimi*2
milele*
*TOKODI*