Nimefika Jo ft, Big Pin Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2002
Lyrics
Nimefika Jo ft, Big Pin - E-Sir
...
Kuna, kuna, kuna, kuna, kuna
Kuna kijana mmoja toka South C (Jo)
Kijana mwenye label kama Nike (Jo)
Mnafaa kumwona akishika mic (Jo)
Mikono juu ya hewa kama kite (Jo)
Kama safari hatari na gari (Jo)
Kama Tomma, hatari with the honies (Jo)
Kama wewe si a sister, kitani (Jo)
Kama sijakutaja, samahani (Jo)
Wimbo hujaisha, bado kuna wakati (Jo)
Kama bado hujajua jina (Jo)
Nani mwenye rhyme tamu kama tikka? (Jo)
Nani mwenye kupiga mic tisa? (Jo)
Nani mwengine isipokuwa Issa? (Jo)
Jesus, nikishika (Jo)
Mamanzi wanawika (Jo)
Kwa mic, hata sita (Jo)
Oh yeah, oh yeah (Jo)
Kisha niangushe rhymes ki-dirty
Ma-emcee, hamna bahati (Jo)
E-Sir yu hatari, rhymes kali
Juu ya mali, halali, haifai (Jo)
Nimeshika, sitaachilia (Jo)
Mpaka wakati zenu zitafifia (Jo)
Nipeni mangiri, sitaki mamia (Jo)
Sitaki shetani, nipeni malkia (Jo)
You, mwanamke kama wewe, mbona waringa? (Jo)
Mwanamume kama mimi, mbona wamnyima? (Jo)
Ama ni sababu rap bila Issa (Jo)
Ni kama Kiss bila Muthoni Bwika? (Jo)
Weka sahani juu ya meza, Ogopa (Deejays)
Cheki vile ma-emcee wanasorora
Mimi niweke mic chini? Watangoja
Kama nikuroga, Issa mchawi number moja
Lakini ngoja
Why do you really wanna punch Issa in the (jaw?)
I wanna know, I really wanna know, like (Jo)
And then I wanna flow, I wanna flow, like (Jo)
Gimme my dough, I really want my dough, like (Jo)
Niodhes? (Niodhes?)
Niaje? (Niaje?)
Sasa? (Sasa?)
Mambo? (Mambo?)
Cheza na Issa, mchezo kando (Jo)
Huu ndio mwanzo, mambo bado (Jo)
Ah-ah