Sababisha (Remix) ft. Maandy, Trio Mio & Exray Taniua Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2024
Lyrics
Sababisha (Remix) ft. Maandy, Trio Mio & Exray Taniua - E-Sir
...
uuuuh uh
ni E Sir
Kabaya
kweiyo (ni mwanzo mambo bado)
(kuru) by the way
mi hukua'nga big man
mi hukua'nga big man
by the way
mi husababisha
mi husababisha
by the way
mi hukua'nga big man
mi hukua'nga big man
by the way
mi husababisha
mi husababisha
by the way
mi hukua'nga big man
by the way
mi husababisha
by the way
mi hukua'nga big man
by the way
mi husababisha
by the way
ah Mkurugenzi Kiongozi
big man
mi ndo Baba na sina'nga kinyozi
mi ni big man
ukitizama utatoa machozi
big man
standards cheki wasichana mapozi
naskia fiti
hamkia kiti
mhesh wa kamitii
amefika achia mziki
and then leta kuchoma na sima ambia mpishi
aki ku 'nge'ngedhanina anyiambishi
si napenda words kaa nyingi
maneja wa Mashariki late ku Kas kazini
ex wangu ananipigia sijui ananitafutia nini
niko sheshe na kabaya form ni tight kaa mini
wa'hunitanga big man
(big man)
big man bazuu
mbona ulambe chupa na nimeshika round two
big man
(big man)
big man bazuu
waiter sababisha alafu u discuss na mkuu
by the way
mi hukua'nga big man
mi hukua'nga big man
by the way
mi husababisha
mi husababisha
by the way
mi hukua'nga big man
by the way
mi husababisha
by the way
mi hukua'nga big man
by the way
mi husababisha
by the way
wanashuku
vile mtiririko huu
wa huyu ndugu
umeingia Nairobi
na kusambaa
Kwa miji kama Nakuru
na kudhuru Ubongo
na si uwongo
kupendwa na kila mtu
kama Lebo ya Fubu
nafikiri
labda nivile
nabagasa
wafanya
mwataka
kuni hara
kuniweka
nyuma ya kanta
kuni vukisha
mpaka Tanzania
isipo wezekana Somalia
Ama Uganda
Ati na tema
wanapenda
wan'sema tuangushie tena
Mister Number One Rap contender
niliona mahali paku pita nika penya
sasa December to December
nita endelea
kwa ivyo flow ukiitaka
pole pole ikifwatiwa na haraka
hau vice-versa
pewa mbili kwa kitambi
nachukia wanaonichukia
vile nachukia kufanya dhambi
by the way
mi hukua'nga big man
mi hukua'nga big man
by the way
mi husababisha
mi husababisha
by the way
mi hukua'nga big man
by the way
mi husababisha
by the way
mi hukua'nga big man
by the way
mi husababisha
by the way