Leo Ni Leo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2002
Lyrics
Leo Ni Leo - E-Sir
...
Ogopa Muoshe sahani alafu mkakule chakula Leo leo, Leo leo Leo ni leo, asemaye kesho ni muongo Manzi nipe mkono Tembea nami, cheza nami Lewa, rudi nyumbani bila kiuno Wacha nikupe mfano (×2)
Ni ijumaa
Saa mbili ya usiku imefika Wikendi imeingia Lazima nitashangilia Toma ukifika nyumbani Pigia simu Rhoda na Rukia Tamika mwanalisa usisahau jina pia Uje na pesa zangu tosha kabla hujanipitia Wajua pirates wapenda mangiri si mamia Kiswahili nawakilisha Mamanzi nafagia
Nikiruka klabu wajua ni from the front to the rear
Bringing down the house No matter how strong the pillar Kwa sababu Leo ni leo Asemaye kesho ni muongo Manzi nipe mkono Tembea nami, cheza nami Lewa, rudi nyumbani bila kiuno Wacha nikupe mfano (×2) Natoka ndani ya nyumba nikimeremeta kama Nyota unaweza kuwa kipofu usiangalie mbota Kutoka juu mpaka chini nimevaa ... Piga marashi ya polo kwa hivo vizuri nanukia (aah) Gari ni 504 Toma na mtotonto Fungua dirisha jo! Kuna jotonto Mpaka wapi leo bro? Badala ya kengeles Tunamalizia carnivore Bouncer nimekuja kuparty Fungua mlango jo! Leo ni leo Asemaye kesho ni muongo Wacha kuongea mob Nipe chupa mbili za tembo Nionyeshe upendo Leo, leo, leo, asemaye kesho ni muongo Excuse me, mbona wataka kutuua na ... fulani, Kuja waiter toti tatu za sambuka na kama kawaida mbili mbili Sambuka za madem wenye kutembea utafikiria wana viuno viwili (aah) Jina langu ni E_sir Mimi wananiita, Mi na jina lako nimelisikia mahali wasound very familiar Nilazima umenisikia kwa redio Kiss, Capital, Nation na pia Metro Naweza kuwa mafuta ukiisha petrol Msee apo akikuumiza E_sir ndio Detol Leo ni leo Kwa hivo wanangoja kesho Leo, leo, leo asemaye kesho ni muongo Kama unaona traki imekushika Ningependa ukaribie spika Ongeza volume