![Wananiuliza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/13/237d96c7183c4a168d1329bf1b352833H800W800_464_464.jpg)
Wananiuliza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
Lyrics
WANA
NIULIZA
Boss
on
the
mix..mmnn
Boss
along
side
Gman
a
gwan
so.
Badilishamtaa
Music:
CHORUS
Wananiuliza
mbona
nampenda
Mungu,Utanifia
je!
Utanipendaje?
Wananiuliza
Mbona
nampenda
Mungu..Utanifia
Je?
Utanipendaje?
Verse
1:
Look
at
me
am
so
beautiful
so
wonderfully
made..oh
yeyeye
Amenifanyia
so
much
I
feel
wonderfully
cared(uuh)
oh
yeyeye
Kama
si
Mungu
kunipenda
mi
no
salvation,kama
si
Yesu
kunifia
mi
no
Salvation
Wanadamu
wana
mapenzi
chocha(chocha)usiku
kucha
mapenzi
kwisha(kwisha)
Wanadamu
wana
mapenzi
chocha,chocha,chocha
eeh.
:
CHORUS
Wananiuliza
mbona
nampenda
Mungu,Utanifia
je!
Utanipendaje?
Wananiuliza
Mbona
nampenda
Mungu..Utanifia
Je?
Utanipendaje?
Verse
2:
Okey,first
of
Nimetamani
sana
kupata
nafasi
Yakukweleza
mbona
mimi
nampenda
Aliniambia
devil
ana
moja
Agenda
ku
kill
and
destroy
wale
watu
wanapenda
Ila
yeye
alikuja
ilitupate
uzima
wa
milele
kama
umempata
piga
kelele
Yake
Agenda
nikunifanya
nifike
kilele
ndio
maana
nitamusifu
milele
Wale
wanauliza
maswali.wacha
nijibu
iyo
ma
swali
eeh
mimi
naye
tumetoka
mbali..eeh..hope
nimejibu
iyo
swali..
CHORUS
Wananiuliza
mbona
nampenda
Mungu,Utanifia
je!
Utanipendaje?
Wananiuliza
Mbona
nampenda
Mungu..Utanifia
Je?
Utanipendaje?
BRIDGE:Ambia
aliye
niacha
nishapendwa..(nishapendwa)Ambia
aliyeniacha
nishapendwa..wale
walinichukia
nishapendwa..tena
kila
kitu
nataka
nafanyiwa…jamani
kupendwa
na
Yesu
ni
raha..ooh.kupendwa
na
Yesu
ni
Raha..raha
raha..
CHORUS
Wananiuliza
mbona
nampenda
Mungu,Utanifia
je!
Utanipendaje?
Wananiuliza
Mbona
nampenda
Mungu..Utanifia
Je?
Utanipendaje