![Mungu Ni Upendo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/10/4d19d9c02f3a4bbea3b3b61fa480dae2_464_464.jpg)
Mungu Ni Upendo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
INTRO:AAH.BOSS...LEGRAND PITSON
VERSE1;Yesu alopecia kisimani cha samaria,akamwambia Msamaria yote
ametenda,alikimbia..akawambia,akakimbia akawambia....
Kujeni muone,aliyeniambia mimi,yote niliyoyafanya,kujeni muone,aliyenipenda
mimi,licha ya niliyofanya
CHORUS
Anani penda,licha ya yale nimefanya,
anakupenda licha ya yale umefanya
ooh;mungu ni upendo,mungu ni upendo
mungu ni upendo anakupenda ooh
mungu ni upendo,mungu ni upendo,mungu ni upendo
ananipenda.
VERSE2; Kuna mengi mi hufanya nikiwa nimejificha,nakuna mengi siufanya tukidhani
tumejificha,sio ati haoni,sio eti hajui,nivile watu wake kwa mabawa yake
amewaficha,nakuna wale wanatembea kwa hawajapata salvation shetani
amewafunga,kujeni watu wake kwa mabawa yake atawaficha.
CHORUS;
Anani penda,licha ya yale nimefanya,
anakupenda licha ya yale umefanya
ooh;mungu ni upendo,mungu ni upendo
mungu ni upendo anakupenda ooh
mungu ni upendo,mungu ni upendo,mungu ni upendo
ananipenda.