Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2016

Lyrics

Vumilia ft. Size 8 Reborn - Boss M.O.G

...

kwa macho nikikuona, kwa nje wapendeza,

umejipodoa na make ups, you look so fine,

unakaa waumia, moyoni wateseka,

walia ah, umenitunza jipodoa,

na sasa nimeshagundua, nahisi kujiua,

(we oh x2), vumilia mama,(we ohx2)

zidi kumwombea atabadilika (we oh x2)

unajua mungu hapendi utengano,(we oh x2)

mapenzi safari,

naenda x2, sitaki balaa,

naenda x2, sitaki noma na yeye,

husiache kwako wana wanakuhitaji,

(no no x2)

na watoto wataniuliza vipi mummy katoroka,

kama ningemnyima penzi,

angeniita mchoyo, muumba wangu moyo,

atavuna kibogoyo,

(we oh x2), vumilia baba,(we oh x2),

zidi kuwombea atabadilika,(we oh x2)

unajua mungu hapendi utengano (we oh x2)

mapenzi safari

naenda x2, sitaki balaa,

naenda x2, sitaki noma na yeye,

husiache wako wanakuhitaji,

(no no x2)

unajua mama bwana wako,

ukufanya husijihisi wa dhamana,

kwa kukutesa sanax2,

kila unayo malazi mwenye dawa ni mola,

so inabidi uvumilivu iwe dawa yako,

husiwe wa kasi kuondoka mama,

husiwe mwepesi wa hasira mama,

(we oh x2), vumilia mama,(we oh x2)

zidi kumwombea atabadilika (we oh x2)

unajua mungu hapendi utengano,(we oh x2)

mapenzi safari,

mungu akikutazama nini atajivunia

ukifanya utengano ambalo analichukia,

sawa narudi, narudi sitavunja ndoa,

sawa narudi, narudi nitamwomba mola,

husiyesamehe, rudi nyumbani,(vumiliax3)

narejea, narudi nyumbani, x2 (vumilia x3)

Lyrics powered by *musixmatch.com

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          If you have any questions, please feedback on Boomplay App or send an email to [email protected].

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status