![Nishike Mkono](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/10/dd0280926c384eb09ec8bf6f7425991f_464_464.jpg)
Nishike Mkono Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
NISHIKE MKONO AUDIO LYRICS & ARTS
Adui muwinda watu halali,anatuwinda usiku kucha,Mungu baba usipotulinda tuta
angamia eh..anamaliza vijana na depression,abortion drug addiction,anamaliza ndoa
seperation,polisi nama corruption
Pre-chorus
So ukiniona nikilegea,nibebe,nibembeleze ni bebe
nikipoteza tumaini;nibebe nibembeleze nibebe,Yesu nishike mkono.
CHORUS
Nishike mkono,nishike mkono Bwana nishike mkono
ukituacha adui atatuangamiza;nisike mkono,nishike mkono Bwana nishike mkono
Nishike mkono bwana nishike mkono ukituacha adui atatumaliza
nishike mkono nishike mkono bwana nishike mkono
VERSE 2
Bila wewe Bwana mimi siwezi,bila wewe Bwana mimi siwezi
kuyashinda majaribu yote,siwezi,bila wewe Bwana mimi siwezi
PRE-CHORUS
So ukiniona nikilegea,nibebe,nibembeleze ni bebe
nikipoteza tumaini;nibebe nibembeleze nibebe,Yesu nishike mkono)2
CHORUS
Nishike mkono,nishike mkono Bwana nishike mkono
ukituacha adui atatuangamiza;nisike mkono,nishike mkono Bwana nishike mkono
Nishike mkono bwana nishike mkono ukituacha adui atatumaliza
nishike mkono nishike mkono bwana nishike mkono
VERSE3
Iponye uchumi yetu isiangamie ianguke nchiza jirani ziamuke zitucheke,ushuru ipande
wanainchi wateseke
umekuwa kiongozi wetu baba tangu tulipopata uhuru Kenya inakutegemea
usituangushe..eeeeh
adui akija na akupate mipango yake yote itapake na akiweka mtego tusianguke
adui akija na akupate mipango yake yote itapake na akiweka mtego tusianguke
CHORUS
Nishike mkono,nishike mkono Bwana nishike mkono
ukituacha adui atatuangamiza;nisike mkono,nishike mkono Bwana nishike mkono
Nishike mkono bwana nishike mkono ukituacha adui atatumaliza
nishike mkono nishike mkono bwana nishike mkono
PRELUDE;