
USIENDE (FAR AWAY) Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2025
Lyrics
USIENDE (FAR AWAY) - Bevanny boy
...
#kompamusic
#trending song
The aong is performed by bevanny boy
Produced by banny music
*Kompa sound *
Song lyrics
Ololololoo
Ohhhh
Its beva again
Moyo wangu umeuweka juu
Nawazia mapenzi
Natamani niwe kando yako tuu
Kupatie mapenzi
Naapa kweli sio sawa my buu
Ukinigusa fire wuuuh
Unapo nishika napagawa my buu
Mganga wako tiba tuuh
Ohh baby
Hata ukigusa simu yangu
Picha yako inawaka tuuh
Kama kuchiti naanzaje
We ni wangu mie ni wako tuuh
Haya mapenzi kwako nimezaama
Kutoka siwezi kwako nimekwaaama
Haya mapenzi kwako nimezaama
Kutoka siwezi kwako nimekwaaama
Ohh basi baby usiende far away
Far away
Far away
Far away
Ohh basi baby usiende far away
(Olololo ) far away
(Owowowo) far away
(Ononono) far away yeah
Instrumental
Ololololo
Masaa ishirini na mane
Haunitoki kichwani
Na nikijaribu mie kusahau
Moyo wangu wakutamani
Na unavo napenda
Nahisi raha tuu
Ohh baby
Ongeza tu
Ohh penzi lako tiba
Nipe buu
Olololo
Zako raha juu
Mhh
Kama si wewe nimpende nani
Ukinacha mwenyewe
Ntajifia honey
Haya mapenzi kwako nimezaama
Kutoka siwezi kwako nimekwaaama
Ohh basi baby usiende far away
Far away
Far away
Far away
Ohh basi baby usiende far away
(Olololo ) far away
(Owowowo) far away
(Ononono) far away yeah
Haya mapenzi kwako nimezaama
Kutoka siwezi kwako nimekwaaama
Mr kinanda
@Bevannyboy