
Only you Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2025
Lyrics
Only you - Bevanny boy
...
Only you -bevanny boy
instrumental playing
mmmh
(banny music)
beva Again
wowowo
ohh yeyeyea
its bevanny again
beby wapasheni
au nandike barua wajie na watambue
unavo ni bety
sio chumbani si huku ady mpka
kwa bedy
mapenzi unanipa nipa
najipata nasita sita
mwenzako nishadata data aah
mmmh mmh
penzi tamu zaidi ya honey
pole pole na si ety utani
unavo nipa ady mezani
wanizidi ady kwa mizani
yaani baby we we
moyo unawasha de de
ukinilisha vinene
ady nashindwa kupumua
ohh
yaani baby we we
moyo unawasha de de
ukinilisha vinene
ady nashindwa kupumua
ohh
yaani moyo wangu dede dede
ukoniguza cheche cheche
nipe nafasi mie nikupende
yaani only you
(only you)
yaani moyo wangu dede dede
ukiniguza cheche cheche
nipe nafasi mie nikupende
yaani only you
only you only you
only you only you
only you only you
only you only you
Uzuri wako yaani wewe
akuna wa thamani kama weewe
umenipiga tisa yaani wewe
akuna wa thamani kama weewe
nikwite beby ama nikwite dali
ila penzi lako yaani zaidi ya mamy
beby umenipiga yaani mbili mbili
na mapenzi yako kweli ayashikiki
yaani beby wewe
moyo unawasha dede
ukinilisha vinene
ady nashindwa kupumua
ohh
yaani moyo wangu dede dede
ukiniguza cheche cheche
nipe nafasi mie nikupende
yaani only you
(only you)
yaani moyo wangu dede dede
ukiniguza cheche cheche
nipe nafasi mie nikupende
yaani only you
only you only you
only you only you
only you only you
only you only you
instrumental playing
ONLY YOU -BEVANNY BOY
DP MADE IT