
NAMPENDA Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
NAMPENDA - Bevanny boy
...
malaaaaaaiiiikaaaa
mwenye heshima zake
anitataniiishaaaa nikiona sura yake
shiii
mhhh
bevanny tena
ilianza kama story kuwa na yeye
hivi mpole usidhani mdori
si mwenye kelele ona
huyu anayenifaa
nimpende mwenyewe
akikosa nimwombe msamaha
nisije Baki mwenyewe
hasa watishi watutishe nini
huyu nampenda
Hata dunia mwondoke nyinyi
Bado nampenda
malaaaaaaiiiikaaaa
mwenye heshima zake
anitataniiishaaaa
nikiona sura yake
hasa waseme ohh
mpenzi ahh kwako sitoki
Mara ety ohh hamchoki
kumpost sikomi