
Polisi Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Polisi - Bevanny boy
...
instrumental playing
ohhh olalalaah
tam tam pipi
rangi yako sauti yako
waniwacha mdomo wazi
na mwendo wako viti
wanilowesha mazima
upendo ako nikupe taji
na ulivo na vidimples
uso wako ukicheka
wanifikishanga mbali
usije niacha kwa mavumbo
ukiondoka mwenzako
ntashinda tapa tapa
beby natamani ngepewa ramani
dunia yote kiimiliki nikuchore
kuunganishe na taifa ndoo tupate amani
uso wako kwenye ikulu niuchoree
ujue nakupenda mama dont go far
hata simu ntakubuyia ndoo tuwe tukichat
na kama kikukosea basi uwe wangu judge
na ukanihukumu yeah
(ohh polisini )
moyo wangu umeufunga polisini
na wakileta kesi wakalishe chini
mana wee ndoo utakaye nihukumu mimi
(ohh yeah )
polisini
moyo wangu umeufunga polisini
na wakileta kesi wakalishe chini
mana wee ndo utakaye nihukumu mimi
(olalalaaaaah)
(lalalalaaah )
lalalalaaah
ooohh yeah
oh mapenzi yako tam pipi korea
kininogesha nahisi moyo ntakutolea
na kama kikosa basi usije potea
muda wangu upo hata gari ntakupokelea
ohh baby love
unasijua siri zangu na umekubali kuwa wangu
mara ohh tena
wayajua madhaifu yangu
basi kila siku uwe wangu
beby natamani ngepewa ramani
dunia yote kiimiliki nikuchore
kuunganishe na taifa ndoo tupate amani
uso wako kwenye ikulu niuchoree
ujue nakupenda mama dont go far
hata simu ntakubuyia ndoo tuwe tukichat
na kama kikukosea basi uwe wangu judge na ukanihukumu
yeah
ohh polisini
moyo wangu umeufunga polisini
na wakileta kesi wakalishe chini
mana wee ndoo utakaye nihukumu
mimi
ohhh yeah
polisini
moyo wangu umeufunga polisini
na wakileta kesi wakalishe chini
mana wee ndo utakaye nihukumu
mimi
mmmh
beby natamani ngepewa ramani
dunia yote kiimiliki nikuchore
kuunganishe na taifa ndoo tupate amani
ohhh yeah
(instrumental playing)
hoki on this,
bevanny boy,
polisi .