![Channel](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/07/b5d56e0919664361ad081069368b6e83H800W800_464_464.jpg)
Channel Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
CHANNEL LYRICS
Verse 1
Channel
Network usizingue unaharibu Channel
Kanda ya ziwa watu wametega Channel
Nimezama merelani huku na suka Channel
Search Search Channel
Channel
Nimetoka kuunganisha ma Channel
Zungusha mpaka una nasa Channel
Search Search Searching
We cheka cheka kwa Kejeri
Nakuwekea kitu Spacial
Natoka na umeshika Majoker
Si una nijua nahodha wa Meli
Temperature imepanda 100 degrees
My nigga My nigga My nigga Please
Usini changanyie madawa Sahizi
Na angalia network zangu niko Busy
Temperature imepanda 100 degrees
My nigga My nigga My nigga Please
Usi nichanganyie habari Sahizi
Na angalia Channel zangu niko Busy
Search Search Searching
Fatilia Channel
Pigia watu ulialzia Channel
Kamatia line ukipata Channel
Channel
Network usizingue unaharibu Channel
Nairobi City watu wametega Channel
Nimezama Congo Kin Sasha na suka Channel
Search Search Channel
Channel
Nimetoka kuunganisha ma Channel
Zungusha mpaka una nasa Channel
Search Search Searching
(c)2024 CMG.All Rights Reserved.