![Dabo Dabo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/04/001aafe419d74c68bc2f6d8f4244f18bH3000W3000_464_464.jpg)
Dabo Dabo Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2025
Lyrics
Nilicho omba amejibu double
Nilicho omba amejibu double
Ei double double.double double
Na eti na bado.bado bado
I never know I never know
Atakuja Leo ama tomorrow
But I know I know
Baraka zake hazinaga sorrow
Akibless no man can curse
No man can curse
Akibless hakuna wakureverse
Hakuna wakureverse
Niliomba baiskeli akanipa gari
Niliomba kibarua akanipa kazi
Niliomba kuamka akanipandisha ngazi
Niliomba kuoa akanifanya mzazi
Mipango yake kwangu.kwangu
Ni zaidi ya mawazo yangu..yangu
Akibless no man can curse
No man can curse
Akibless hakuna wakureverse
Hakuna wakureverse
Nilicho omba amejibu double
Nilicho omba amejibu double
Ei double double.double double
Na eti na bado.bado bado
He's never too late
Akicome una over take
Baraka zake sio fake
Bora uzingoje uta taste
Ata time haucheki ako kazi
We ngoja utaona wazi wazi
Ata come akupandishe ngazi
Shetani afure ka mandazi
Kwake ni ndio na Amina. Amina
Akicome ana mimina. Mimina
Mipango yake kwangu.kwangu
Ni zaidi ya mawazo yangu..yangu
Akibless no man can curse
No man can curse
Akibless hakuna wakureverse
Hakuna wakureverse
Nilicho omba amejibu double
Nilicho omba amejibu double
Ei double double.double double
Na eti na bado.bado bado
Ei double double.double double
Na eti na bado.bado bado