![Bado ni Weekday ft. Breeder LW & Maandy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/02/cf14034358664de99ebe5874410eeea4H3000W3000_464_464.jpg)
Bado ni Weekday ft. Breeder LW & Maandy Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2025
Lyrics
Gibbzy
Yo Big Baba
Ati Winey Winey
Arch your back twende mbele rewind it
Game Bubu me nakulanga in silence
Baby Girl gari kubwa zero mileage
Me ni tripple XL ye ni Size 8
Kwa tamasha anapendanga ku gyrate
Anapanda ju miti kama primate
Analamba na anameza ju ana like taste
Too high na hazishuki twende space jamaa
Ka ni Monday makejani Weekend Kwa Bar
Ni kiseenssii skiza aroma
Ni kibigi kinatupa kama biogas
Weka liqour gin vodo ju ya meza
Big Baba ako inadi ua presha
Na Makwella kama 30 tuna kesha
Shagla ni ya kizing we cheza na mchedar
Whiskey Vodo gin joo toka juzi hauski bado sija lala
Risky vile jirani huleta upuzi hauski bado sijahama
Bado ni weekday na ndo na get higher
Bado ni weekday liver iko on fire
Bado ni weekday na ndo na get higher
Bado ni weekday liver iko on fire
Unajua unadeal na nani nani ?
Pamba ni safi amepiga mini bila nini
Toa ganji iitwe daddy
Nilianza jana lakini Nataka zipande sahi
Hapa tuko three by three
Mavarious moshi na shots za gin
Weh admire tu kucheki ni free
Ukizidisha baba utalipa a small fee
So Back it up Ati zungusha
Baby Inama Ebu Tingisha
Ah Babygirl Zikilipuka
Utarudi kejani aje hii ndo vibe inatufaa
Whiskey Vodo gin joo toka juzi hauski bado sija lala
Risky vile jirani huleta upuzi hauski bado sijahama
Bado ni weekday na ndo na get higher
Bado ni weekday liver iko on fire
Bado ni weekday na ndo na get higher
Bado ni weekday liver iko on fire
Kata maji wacha presha bro
Kurudi home si kalesa bro
Nyie mkidoze mi nakesha bro
Naratio ni ya one to four
Time ikifika 5 jua nishalegalize
Bora katu na vibe
Mi sijali na size
Mapenzi joo ni tricky so mi sina time
Slim ama biggie misinaga type
Najua mmeboeka life inawa bo
Mi nina serereka klabu ime chrome
Rada ni mpesa dough iko kwa phone
Nimekuja kutesa and i've been on a roll
Misifiki kwa floor
Nishorty ainameee agusishiwe miti aki wine slow
Siezi tupa dough
Najuu misi babake akianza kuchizi
Anarudishwa home
Whiskey Vodo gin joo toka juzi hauski bado sija lala
Risky vile jirani huleta upuzi hauski bado sijahama
Bado ni weekday na ndo na get higher
Bado ni weekday liver iko on fire
Bado ni weekday na ndo na get higher
Bado ni weekday liver iko on fire