Washa ft. Breeder LW & Maandy Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
(DDDJ GIBBZY)
Napitia ATM transaction done
Walenje imefura pori zimejaa
Tudunde wapi leo please confirm
Mi ntalipa drinks, we utalipa cab
Juu Pesa inani wa wa wa wa washa
Pesa inani wa wa wa wa washa
Pesa inani wa wa wa wa washa
(Yo Kabaya)
Pesa inani wa wa wa wa washa
Daddy blesser confirm
Nisote aje mi ni babygirl
Pesa inani washa road trip ni Sudan
Anani pigia let's have some fun
Mi huyu bypass na wigs kana curls
Ah uko wapi
Mi Niko hapa
Mobile banking
Na Sina charger
Ambia waiter ni mi nalipa
Pori imejaa na ah inani washa
Napitia ATM transaction done
Walenje imefura pori zimejaa
Tudunde wapi leo please confirm
Mi ntalipa drinks, we utalipa cab
Juu Pesa inani wa wa wa wa washa
(Washa)
Pesa inani wa wa wa wa washa
(Big Baba)
Pesa inani wa wa wa wa washa
Pesa inani wa wa wa wa washa
Cheki Cheki Man
Big baba ndio ameland
Me hufika na giza
Kama Batman
Big Batty Gyal
Anaitwa Assman
Ako na Ass man
Na hana husband
Pesa inaniwasha leta henny leta remy
Naball na doh yangu sio loan sio denii
Bouncer apewe shots pia leo niko spending
Skuizi ukiniboo nacatch flight nika medi
Nina ma crypto, ma cash
Ma kiko ma shash
Ma invoice kwa email risiti kwa flash
Kondiko surplus, wasupa kadhaaa
Baby zima simu hio ringtone si must
Napitia ATM transaction done
Walenje imefura pori zimejaa
Tudunde wapi leo please confirm
Mi ntalipa drinks, we utalipa cab
Juu Pesa inani wa wa wa wa washa
Pesa inani wa wa wa wa washa
Pesa inani wa wa wa wa washa
Pesa inani wa wa wa wa washa
(Gibbzy)
Ushaishika Bilioni? Hapana
Acha Madini Nina Miliki Viwanja
Dj Gibbzy, Mr Mkwanja
Gari, Meli, Ndege kwa Kiwanja
Now the shit change
I'm with the crew with the big chains
And the rim we be chilling with the big Range
At the gym so I'm pulling with the big gains
Sick flames in the sick game
Njoo Kando
Ndo Mpango
Acha Kulia Kuwaza Hela Ya Bando
Vp Mambo? Shida Landlord?
Nitalipa na Nitakupa Mipango
Napitia ATM transaction done
Walenje imefura pori zimejaa
Tudunde wapi leo please confirm
Mi ntalipa drinks, we utalipa cab
Juu Pesa inani wa wa wa wa washa
Pesa inani wa wa wa wa washa
Pesa inani wa wa wa wa washa
Pesa inani wa wa wa wa washa
(Pesa inani)
(Pesa inani)