Squeeze Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
(Dddj Gibbzy)
Weh
Yeah
Gibbzy
Uh
She wanna get freaky amependezwa na cologne
Nitamuinvite juu mi hukuwa na form
I'm feeling kinda of tipsy meditation niko zone
Na aki decline siezi enda home alone
Wanani fuata fuata nika noko on parole
But wakinipa role siezi kosa kuperform
Wakitaka ziwake ofcourse nitaroll
Wakitaka tukate ofcourse mi huball
Alafu metchi kwa uwa wa wa wa wanja
Nduru ka ni ra ra ra ra raptcha
Moment nita ka ka ka ka kapture
Til aseme wa wa wa wa watcha
Ata rudi home na fra fra fra fra fracture
Ju vile nimecha cha cha cha chapa
Gibbzy anaharibu stra stra stra stra structure
Na ye ni manufa fa fa fa fa facture
Anataka this anataka that
Yani at ease alafu alert
Haogopi kuwa teased
Haezi get hurt
Na niki squeeze anaifeel kwa heart
Anataka this anataka that
Yani at ease alafu alert
Haogopi kuwa teased
Haezi get hurt
Na niki squeeze anaifeel kwa heart
Eti Hataki kuwa apart asha get attached
Feelings ame catch anadhani hi ni match
Ananita king hmm miss me with that (Please)
Mi siezi simp nilimtoanga bash
Ideas zime clash juu ya transforma
Anapenda miti huyu nishamsoma
Atapigwa sticki ajipate kwa koma
Alafu nim trace nione ka amepona
You know what it is kubadilisha ni must
Nawapigiwa dust
Wanabaki waki curse
Nilikuwa wa last sahii mimi ndio first
Na akileta fuss mi hukumbusha that
Ata rudi home na fra fra fra fra fracture
Ju vile nimecha cha cha cha chapa
Gibbzy anaharibu stra stra stra stra structure
Na ye ni manufa fa fa fa fa facture
Anataka this anataka that
Yani at ease alafu alert
Haogopi kuwa teased
Haezi get hurt
Na niki squeeze anaifeel kwa heart
Anataka this anataka that
Yani at ease alafu alert
Haogopi kuwa teased
Haezi get hurt
Na niki squeeze anaifeel kwa heart
Metchi kwa uwa wa wa wa wanja
Nduru ka ni ra ra ra ra raptcha
Moment nita ka ka ka ka kapture
Til aseme wa wa wa wa watcha
Ata rudi home na fra fra fra fra fracture
Ju vile nimecha cha cha cha chapa
Gibbzy anaharibu stra stra stra stra structure
Na ye ni manufa fa fa fa fa facture