Mwaya ft. Kusah Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mmmh oh Caroline, Calola
(Dddj Gibbzy)
Ni mara ngapi, Ni mara ngapi najiuliza kuhusu wewe?
Ni, Mara ngapi, Ni mara ngapi nakosea unasamehe?
Penzi letu limefunikwa na upendo
Wasije watu waje walivunje pendo
Yaani baby ni uongo
(Ooooh Oooh)
Walokuambia sina hisia kwako, sio kweli
Maneno mengi wanasema japo, baby sio kweli
(Yani sio kweli mhhh)
Baby mwaya
(Ooh baby)
Baby mwaya (Nakupenda)
Baby mwaya (uko mwenyewe)
Baby mwaya
Ooh baby baby (Baby Mwaya)
Ooh nakupenda (Baby Mwaya)
Niko on fire (Baby Mwaya)
Penzi la moto (Baby Mwaya)
Walokuambia sina hisia kwako sio kweli
Maneno mengi wanasema japo baby sio kweli
(Gibbzy)
Uh, Grind your body on me so everybody can see (Slow)
Mdogo mdogo sio mwendo wa kasi
Baby kiss on me, don't you trip on me (Nah)
Believe me when I say you are everything I need (Everything I need)
You are everything they seek for in a woman (Everything)
Wakiniona nawe wanaumwa (Ah)
Chochote wanasema sio true man (Cap)
But I know you know I am a good man (I'm Good)
Ni mimi na wewe hadi kufa (Kufa)
Umeweza mami (Umeweza umeweza)
Roho imependa ni we me na thamani (Na thamani)
A woman like you is hard to come by
Let's elope just you and I
Baby mwaya
Ooh baby
Baby mwaya (Nakupenda)
Baby mwaya (uko mwenyewe)
Baby mwaya
Ooh baby baby (Baby Mwaya)
Ooh nakupenda (Baby Mwaya)
Niko on fire (Baby Mwaya)
Penzi la moto (Baby Mwaya)
Mmh mmh mmh
(Yani Sio kweli)
Baby mwaya
Ooh baby
Baby mwaya (Nakupenda)
Baby mwaya (Uko mwenyewe)
Baby mwaya
Ooh baby baby (Baby Mwaya)
Ooh nakupenda (Baby Mwaya)
Niko on fire (Baby Mwaya)
Penzi la moto (Baby Mwaya)
Mmh mmh