![Nalo ft. Arrow Bwoy](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/24/2D/rBEeM1urswmAd5ytAADUeAdrTi4185.jpg)
Nalo ft. Arrow Bwoy Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2018
Lyrics
Nalo ft. Arrow Bwoy - Sudi Boy
...
Uwuwuwuwuuuuwwuwwuuuwwu eeeyeeey
NZ
Dem call me Arrow Bwoy (Aaahhaa)
Vicky pon this
Halibagui mtoto, mtu mzima
Wemalapa moko, usiwahi pima
Na kama ushawai nisoma mpango wangu mzima
Injili walapa mokoo
Nasema
Halibagui mtoto, mtu mzima
Wemalapa moko, usiwahi pima
Na kama ushawai nisoma mpango wangu mzima
Injili walapa mokoo
Linavyo kwenda na una kwenda, Twendenalo
Umelishaa jiachia, Twendenalo
Aaaahaaaahaa, OoWooooowoowowwo
Linavyo kwenda na una kwenda, Twendenalo
Umelishaa jiachia, Twendenalo
Meli ishang’oa nanga, basi fanya hima usiachwe nyuma
So move your body like a snake girl (Twendenalo)
Kololololoooh (Twendenalo)
Usihatee twendenalo (Twendenalo)
Ehhheeeheehhee (Twendenalo)
Ohooohoohhooowuooh (Twendenalo)
Siku hizi pesa kwetu ndio marashi
Nusia kah aroma
So take it slow don’t rush it, anza na kah ngoma (Wuuh)
Give me little this, give me little that
Supu wa peza na mshikaki
Peremende kende licky licky dati you better know
Dem call me Arrow Bwoy
Na niko na kashamba huko paradise (Mmmmhh)
Nitakuweka huko juu utafeel nice (Ehhheeheehheeee)
Linavyo kwenda na una kwenda, Twendenalo
Ngoma limeshaa jiachia, Twendenalo
Aaaahaaaahaa, Wooooowoowowwo
So move your body like a snake girl (Twendenalo)
Kololololoooh (Twendenalo)
Usihatee twendenalo (Twendenalo)
Ehhheeeheehhee (Twendenalo)
Ohooohoohhooowuooh (Twendenalo)
Sim simma who got the keys to my bimma
Hapa mizinga, hatutambui mama pima lighter
Tembeza mjani, juu mali imeshika nje na ndani
Kashaa jipa, wana Fulani
Lazima ndugu nikitoka hapa nitalala ndani
Kama unapenda mziki stand up
And never mind dem so make you stand up
Arrow Bwoy, na Sudi Boy ndio pilot
Anafanya nafisi tonight
And I say inama, inuka
Fanya kama vile unatafuta
Inama tena, inuka
Nananadideaa
Digididaa (eh) Digididaa (eh)
Digididadadadadadadadadaa (eh)
Digididadaa (eh) Digididaa (eh)
Digididadadadadadadadadaa (eh)
Twendenalo (x2)