![Naona Bado ft. Amileena](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/16/3f28b2b6ed814317b9d06bde9c1eb1a1_464_464.jpg)
Naona Bado ft. Amileena Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Naona Bado ft. Amileena - Sudi Boy
...
sudi eeh,eeh ,eeeeh Naona bora afadhali nioe mke basi muwe wawili, imepungua yangu Imani wananicheka ona majiranii, penzi nilokumwagia utamu wa ndoa unaniishia, wazazi wanaulizia mpaka lini watasubiria, eeeh,nayaheshimu yako maamuzi mara mbili fikiria, ujana moshi hauna ujuuzi sote njia tunapitia, nayaheshishimu yako maamuzi oooh, ujana moshi hauna ujuuzi mke wangu weeh, chorus naona Bado naona Bado,hujaridhia kuishi na mimi, naona Bado naona Bado ndo maana hutaki kuzaa na mimi, naona Bado naona Bado , hujaridhia kuishi na mimi, naona Bado naona Bado ndo maana hutaki kuzaa na Mimi, ayaya,ayayayaaa,ayaaya ayaaayaaa,unaogovya hadharani na matisho za mke wa pili, hajawambia na majonzi kwa kujua tena hauniaminii, naomba uwe na subira sio ati sitaki kukuzaliaa, wakati wetu hujafika tuwe na sisi familiaa, nayaheshimu yangu maamuzi naomba mpenzi we subiria, hili jambo zito la uzazi Bado mi nalifikiria , heshimu yangu maamuzi ooooh, hili jambo si la ujuuzi bado mi nalifikiria, Naona Bado naona Bado muda hujafika wa kuzaa na wewe, naona Bado naona Bado subiri kidogo bwana wee, naona Bado naona Bado muda hujafika wa kuzaa na wewe, naona Bado naona Bado subiri kidogo bwana wee. ayaa yayaa ayeyaa,ayaaaa yee yee eeiih, Nimejaribu kukwambia japo tuzae hata mtoto mmoja, Majibu nimesubiria sikuelewi day unasema ngoja, unaogopa kupoteza ujana (noo) unataka tuishi kama jana ( noo) mmh ety Bado mapema(yee) kifungu gani Cha ndoa kimesema? ee, nayaheshimu yangu maamuzi naomba mpenzi we subiria, hili jambo zito la uzazi Bado mi nalifikiria nayaheshimu yako maamuzi oooh, ujana moshi hauna ujuuzi mke wangu weeh, Naona Bado naona Bado hujaridhia kuishi na mimi, naona Bado naona Bado ndo maana hutaki kuzaa na Mimi, naomba Bado naomba Bado muda hujafika wa kuzaa na wewe, naomba Bado naomba Bado,subiri kidogo bwana wee, sudi wee wacha mabaraa,muda wetu hujafikaaa, (instrumental music)