![Unakataa](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/02/A7/rBEeM1pjCBGAcODuAACs9rnqg6A278.jpg)
Unakataa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2018
Lyrics
Unakataa - Sudi Boy
...
yeeeeeeeeee yeeeeeeeeeeee ummmmmmh
unaakata yeaaaa unaakata
penzi kikohozi huwa halifichiki
ahaa hata ufanye nini hautobowi
ukiziba moshi moto haukosi penzi kitu gani yeaaaaaa
ila nikikuita unaakata uyeeee
nikikuita unaakata oooh no nikikuita unaakata uyeeeee nikikuita unakata oooh no
usiku silali nina mengi ya moyoni yananiumiza ndani uyeeee nikisema samahani uninifokia mimi nawa gizani yeeeee
yamenifikia shigoni ma naomba yako dakika moja ma ****** ***** usiniwache mi na shauku ma heiya yamenifikia shigoni ma naomba yako dakika moja ma ****** ***** usiniwache na shauku Ooyah ila nikikuita unaakata uyeeeee
nikikuita unakata ooh no ahaa nikikuita unaakata uyeee nikikuita unaakata oooh noooo
You are my number one my only one usije niumiza ukaja ukanizoga ntaomboga ukaniacha solemba heiya mapenzi ni ya wawili