
Mtetezi Wetu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
Lyrics
Ni jambo gumu gani hilo
Lakutatiza moyo wako
Muambie Yesu, Bwana wa mbingu
Atakutetea, mwamba wa uhakika
Mwenye uwezo wa kila kitu
Mtawala wa mbingu na dunia
Bwana Yesu, msaada wa kweli
Anaweza yote, mwamba thabiti
Usife moyo, jipe moyo
Yesu atakutetea, atakuinua
Mkombozi wetu, mwokozi wa milele
Ni nuru yetu, mwanga wa maisha yetu
Amani yake ni kama mto wa utulivu
Kukata tamaa hakutakuwa mwisho wako
Bwana ashinda mizimu ya giza
Ni mwaminifu milele, imara daima
Ni jambo gumu gani hilo
Lakutatiza moyo wako
Muambie Yesu, Bwana wa mbingu
Atakutetea, mwamba wa uhakika
Bwana anayeshinda, mwaminifu milele
Tutamsifu, milele na milele amina
Shiosi shiosi shikhunyasia
Saya khu Nyasaye, Anyala kosi
Omwami wefwe Anyala kosi
Saya khu Nyasaye, Anyala kosi
Ooohhh!
Bwana anayeshinda, mwaminifu milele
Tutamsifu, milele na milele amina
Shiosi shiosi
Shiosi shiosi shikhunyasia
Saya khu Nyasaye, Anyala kosi
Omwami wefwe Anyala kosi
Saya khu Nyasaye, Anyala kosi
Anyala kosi
Anyala kosi
Anyala kosi
Anyala kosi
Anyala kosi
Omwami leehh
Mmhh
Anyala kosi
Anyala kosi
Omwami leehh
Anyala kosi
Anyala kosi
Omwami leehh
Mmhh
Anyala kosi
Anyala kosi
Anyasi Kosi
Anyala kosi
Omwami leehh
Saya khu Nyasaye
Anyala kosi
Anyala kosi
Omwami leehh
Mmhh
Saya khu Nyasaye
Anyala kosi