
Wastahili ft. Njoki munyi & Joel lwaga Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Wastahili ft. Njoki munyi & Joel lwaga - Paul Clement
...
Leo twamwabudu MUNGU mmoja tyu
kajivika nguvu na Utukufu
amejawa sifa Kila upande
duniani na mbinguni x2
unastahili
unastahili
kupewa sifa
tumwinue tyu anastahili
kupewa sifa
kupewa sifa
uliziumba mbingu na nchi
kwanguvu na kwa neno lako
wastahiliii eeeeeeee
peke yako bwana