Niache Niishi Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2025
Lyrics
Niache Niishi - Brazukar TZ
...
Niache niishi, nitimize ndoto zangu..
Dunia sio rafiki ila naamini riziki yangu..
Niache niishi, nitimize ndoto zangu..
Ndugu na marafiki, Wanizike na heshima Yangu...
Nyumbani Mama Kanambia, Twende Inakusubiri Dunia..
Usawa Unakaba Vumilia, Mwenyezi Mungu Atakutangulia..
Lakini Binadamu, Hawana Jema, Kazi Kunikatisha Tamaa
Riziki Zamu, Najikaza Kudema, Nisake Bila Ya Dhurumaa Aah.
Wanangu Wa Kitaa, Nishawavuruga Wakiniona Ka Vile Chawa
Wachumba Ndo Katuni Kwa Video Machoni Kwao Mi Sina Maana.
Hivi Lini Nitafurahi Hii Dunia, Japo Siku Moja Kama Wenzangu..
Ndugu Rafiki Kuwasaidia, Na Ibirikiwe Zamu Yangu.
Niache niishi, nitimize ndoto zangu..
Dunia sio rafiki ila naamini ridhiki yangu..
Niache niishi, nitimize ndoto zangu..
Ndugu na marafiki, Wanizike na heshima Yangu
Fungu La Kukosa Naitamani Suti Na Tai..
Zangu Dagaa Nyama Tamaa Nimezimiss Hilo Nikubalii..
Eeh..
Kuwa Uone Michongo Inavyokwama,
Rafiki Zako Ndio Wanaofurahii..
Sitaki Kuamini Haikuwa Yangu Karma,
Kufanikiwa Kesho Nami Nienjoy..
Na Kama Pesa Ndo Mapenzi, Ntampata Nani Nami Sina Doo..
Ikaribishe Ee Mwenyezi, Riziki Zangu Ziwe Kama Zao
Hivi Lini Nitafurahi Hii Dunia, Japo Siku Moja Kama Wenzangu..
Ndugu Rafiki Kuwasaidia, Na Ibirikiwe Zamu Yangu.
Niache niishi, nitimize ndoto zangu..
Dunia sio rafiki ila naamini ridhiki yangu..
Niache niishi, nitimize ndoto zangu..
Ndugu na marafiki, Wanizike na heshima Yangu
Basi Mpende Adui Yako, Ukimuombea Kifoo Utauwa Marafiki Zako Ooh
Mmh mmmh
Basi Mpende Adui Yako, Ukimuombea Kifoo Utauwa Marafiki Zako Wewe
Olololololololo
Basi Mpende Adui Yako, Ukimuombea Kifoo Utauwa Marafiki Zako Wewe
Olololololololo