Waongo Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2025
Lyrics
Waongo - Brazukar TZ
...
Ooooh
Nishapigwa matukio
Imani Sina Teena Aah
Hata Ukisema Unanipenda
Nachekaga tu.
Nishaumizwa mwenzio ooh
Kupenda kooma teena
Hata ukisema unanipeenda, peenda
Yanapitaa tuu.
Tizedi si uhindini, bongo penzi ndo kazini
Vitoto vya 2000 vinachapa matukio
Mi kupenda hapana..
Na ikawe kherii, nimekubalii
Yanipunguze mawazoo ooh, maana penzi michosho
Nishachoka kutwa kulalama.
Toka saa 2 yuko bize ( Yuko bize)
Unaetabiri akusikilize
Mkate unauwaza, mwenzako anawaza ampendae
Nishapigwa matukio
Imani Sina Teena Aah
Hata Ukisema Unanipenda
Nachekaga tu.
Nishaumizwa mwenzio ooh
Kupenda kooma teena
Hata ukisema unanipeenda, peenda
Yanapitaa tuu.
Aah, huenda sina vyeti, mapenzi ndo chuo..
Moyo nikaubet na sikuwa chaguo..
Sielewi, sielewi, sielewi
Sielewi, sielewi, sielewi (ooh mama)
Napenda ila naumiizwa
Nishang'ang'ana saan mimi huyo
N'meshindwa ishakufa midadi, kufa midadi aiyii yoyoo
Toka saa 2 yuko bize ( Yuko bize)
Unaetabiri akusikilize
Mkate unauwaza, mwenzako anawaza ampendae
Nishapigwa matukio (matukio)
Imani Sina Teena Aah
Hata Ukisema Unanipenda (ooh)
Nachekaga tu.
Nishaumizwa mwenzio ooh(nishaumizwa ×2)
Kupenda kooma teena
Hata ukisema unanipeenda, peenda
Yanapitaa tuu.
Ooh mapenziii