Mbali Nami Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Amenitosha, Nimemtosha, Mi naye Tumeridhianaa, Hata Tukigombanaa Yetu Siri Moja eeh,
Wanga Wanakesha Kutugombanisha, Waone Tumepigana Ila Mi Najua Mola Katukutanisha eeh.
Mmhhhh!
Usijepunguzaaa
Mahaba Ongezaaa
Mikachumbali Chombezaaa mmmh Aaah
Basi Tutambeeee eeh
Hili Penzi Pambee eeh
Wali Makangee eeh
Wala usijali eeh
Basi Tutambeeee eeh
Hili Penzi Pambee eeh
Wali Makandee eeh
Wala usijali eeh
Usiende Mbali Nami iiih, Mwenzako Nakupenda
Usitoke Mbali Nami iih, Mwenzako Nakupenda
Eiiiiyeee eeh eehee eh Nakupenda
Oiiiyee Oohoo oh Nakupenda
Baby We Unatembea Na Roho Yangu, Chunga Tusije Kuachana, Kukwaruzana Kupo Ila Usiwazee
Kama Kukucheat Siwezi Niamini tu
Nimenogewa Mapenzi Mikono Juu
Woouwowouwowo ooh Nimeshazama Na Kutoka Sielewi Mi.
Basi Tutambeeee eeh
Hili Penzi Pambee eeh
Wali Makangee eeh
Wala usijali eeh
Basi Tutambeeee eeh
Hili Penzi Pambee eeh
Wali Makandee eeh
Wala usijali eeh
Usiende Mbali Nami iiih, Mwenzako Nakupenda
Usitoke Mbali Nami iih, Mwenzako Nakupenda
Eiiiiyeee eeh eehee eh Nakupenda
Oiiiyee Oohoo oh Nakupenda