
Weza Lyrics
- Genre:Genge
- Year of Release:2025
Lyrics
Munga
Anytime Gucci,
Anytime Gucci,
Imeweza,
Ssaru
Acha ni flex kwanza vile ninakaa
Nilipewa makalio za kukaa poa ah, yeah
Alafu nina vibes hii masaa, kila kitu
nikifanya nafanya vile inafaa
Vijana wakiniona, wanatoka mbio
Msupa anarock gold kwa kitovu naskia
Back since back then au sio
I'm that girl walidhani mimi sio
Hook Ssaru and Munga
Drip huwa safi imeweza, msupa
anakujanga amependeza, cheki melanin
top imeweza
Alafu bado hujataste ata flavour
Flavour ka ya nini pweza, imewaah
Munga:Weza
Flavour ka ya nini pweza, imewaah
Munga:Weza
Munga
ROG tumewekelea kazi
Dandora tumewekelea kazi
ROG tumewekelea kazi
Umoinner tumewekelea kazi
Koch 58 tumewekelea kazi
Huruma tumewekelea kazi
ROG tumewekelea kazi
Umoinner tumewekelea kazi
Scar
Kama denge huchoma vela, chorea
chorea
Kama fala ni mteja, chorea chorea
Unadai kubai keja, ganji kwa begega na
bet haijaweza, chorea chorea
Mimi ndo bado wanaongelea
Nashikilia ganji alafu chomelea
Wasupa mtaani wananihemea
Broke people wananilemea
Hook Ssaru and Munga
Drip huwa safi imeweza, msupa
anakujanga amependeza, cheki melanin
top imeweza
Alafu bado hujataste ata flavour
Flavour ka ya nini pweza, imewaah
Munga:Weza
Flavour ka ya nini pweza, imewaah
Munga:Weza
Munga
ROG tumewekelea kazi
Dandora tumewekelea kazi
ROG tumewekelea kazi
Umoinner tumewekelea kazi
Koch 58 tumewekelea kazi
Huruma tumewekelea kazi
ROG tumewekelea kazi
Umoinner tumewekelea kazi
Sewersydda
Usicheze mbali, cheza karibu na si
Bet imeweza hapana wasi wasi
Lifestyle si unajua tu hapa ni ya the A-
team
Ni kuwin win win repeat
5 star rating bet iko nditni
Lifestyle si unajua hapa tu ni ya the A-
team
Ni kuwin win win repeat �2
Hook Ssaru and Munga
Drip huwa safi imeweza, msupa
anakujanga amependeza, cheki melanin
top imeweza
Alafu bado hujataste ata flavour
Flavour ka ya nini pweza, imewaah
Munga:Weza
Flavour ka ya nini pweza, imewaah
Munga:Weza
Munga
ROG tumewekelea kazi
Dandora tumewekelea kazi
ROG tumewekelea kazi
Umoinner tumewekelea kazi
Koch 58 tumewekelea kazi
Huruma tumewekelea kazi
ROG tumewekelea kazi
Umoinner tumewekelea kazi