Fall in Love Lyrics
- Genre:Genge
- Year of Release:2024
Lyrics
Fall In Love Lyrics
Njo nikukukule usepe ulijilegeza nikakukula kizembe
Wale mabasha wako wapi wale wababa wenye magari
Nilitaka tusex nipunguze x
Lakin kua na ww siwez lakin kua na ww
Mi nataka ma cute wenye ganji
So madem awana ela ya kumanji
Wale madem wazuri malight skin
Mzuri wa kunifungia bangi
Wakumkula before nikule mwandani
Sikutaki kwan we ni dem gani m
Natak dem wa kwenda nae popote
So ww unajulikana na maboys wote
(Kwenda we n dem wa kampun )
(Chorus)
Nilitaka
Nilitaka tu doo skua na future na you
Mi nilitaka tufanye mapenzi we uka fall in loveX2
Usidhani sikupendi lamama (mama)
Kitu ulizidisha ni drama (drama)
Umefall kwa mugenge mu badass
Sipendi ma slay sinabud kukuacha
(Verse 1 Ssaru)
TUlipo meet alikuwa chali msweet alinipeleka treats akanispoil na makicks
Tena akanipa peace kanitoa kwenye fix
Hadi wakati nashuku ako na so many chicks
Pale nilijikosea ni pale nilikuzoea
Nikajikuta Niko kwa situation najidare
Sai akili imemea naeza kumegea
Msalimie mamako mwambie naeza kulea
(Chorus)
Nilitaka
Nilitaka tu doo skua na future na you
Mi nilitaka tufanye mapenzi we uka fall in loveX2
Usidhani sikupendi lamama (mama)
Kitu ulizidisha ni drama (drama)
Umefall kwa mugenge mu badass
Sipendi ma slay sinabud kukuacha
(Verse 2)
Life iko rough iko mess
Family iko thug niko stress
Misosi ya insta location I phone am sorry am not the best
Vipochi vya branding toka chaina
Nkakupiga luku safi upate shaina
Wenye walikutaka waka panga laina
Uka change name insta ukajita faima
Ninacho data ujawai tinga braa (eee)
Ulali bila mseti goli traa (eee)
Burungu nilikubeba kwenye braap
Rest nilikwenda mpaka nika kula crak
(Chorus)
Nilitaka
Nilitaka tu doo skua na future na you
Mi nilitaka tufanye mapenzi we uka fall in loveX2
Usidhani sikupendi lamama (mama)
Kitu ulizidisha ni drama (drama)
Umefall kwa mugenge mu badass
Sipendi ma slay sinabud kukuacha