Gongwa (na si mayai) Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2024
Lyrics
Rhymes uh AB ok uh eii
Kuna vile ina gongwa na si mayai
Si mayai si mayai
Kuna vile una gongewa
Na si mayai si mayai ah ah
Si mayai
Kuna vile ina gongwa na si mayai
Si mayai si mayai
Kuna vile una gongewa
Na si mayai si mayai ah ah
Si mayai
Alikupea akanipea akampea
Funny vile Nai tuna share
Akiwa kwako yee ni wako walai
Na akitoka ni wa Dante Dante Dante Dante ah
Ni constant ina gongwa
Hadi bestie boss ana gonga
Manzi yako ndo mama na tambua
Hadi manzi yako ana Manzi for sure
Usidai dai tu na mali ya umma
Kuna vile boss ina umma
Saka Richie wa ma gifter gifter
Utajua wee si mister mister
Hata chali yako ana bibi walai
My man my man akona big family
The only miss na tambua my friend
Tu ni sandy sandy hi kababa
Kuna vile ina gongwa na si mayai
Si mayai si mayai
Kuna vile una gongewa
Na si mayai si mayai ah ah
Si mayai
Kuna vile ina gongwa na si mayai
Si mayai si mayai
Kuna vile una gongewa
Na si mayai si mayai ah ah
Si mayai
Kuna vile ina gongwa na si mayai
Si mayai si mayai
Kuna vile una gongewa
Na si mayai si mayai ah ah
Si mayai
Kuna vile ina gongwa na si mayai
Si mayai si mayai
Kuna vile una gongewa
Na si mayai si mayai ah ah
Si mayai
Manzi yako manzi yetu yetu
Kuna vile anapenda ile kitu jitu
Kwanza akiwa kutu na ma vitu vitu
acha jitu izame kwa msitu mwitu mwitu
Na niko ma vitu vitu
bado mi ninapiga ile kitu kitu
deadly deadly ni kumoto
Toto mengi mengi yeni gwiji jiji
fine miss haringi ah
Habibi miss ma inabidi
Baridi mama imezidi
Me na wee kejan mijeledi
Kila style na switch moss videdly
Habibi miss ma inabidi
Baridi mama imezidi
Me na wee kejan mijeledi
Kila style na switch moss videdly
Kuna vile ina gongwa na si mayai
Si mayai si mayai
Kuna vile una gongewa
Na si mayai si mayai ah ah
Si mayai
Kuna vile ina gongwa na si mayai
Si mayai si mayai
Kuna vile una gongewa
Na si mayai si mayai ah ah
Si mayai
Kuna vile ina gongwa na si mayai
Si mayai si mayai
Kuna vile una gongewa
Na si mayai si mayai ah ah
Si mayai