Ifikie Zakayo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Rhymes Uh AB Ok
I had to take a sit na hii Bill Now
Mlidhani si wajinga nyi wajinga nyinyi
Nika soma kila chapter in a deeper way
Hamtatubeba ka mafala tushachoka sisi
Na hii Gen ni ya wa zii tushaona mbele
Tumechoka na ma promises na makelele
Na ka ni Canaan tutafika bila nyinyi
tumechoshwa na kelele za Zakayo na wenzake now
Na kani Sera mliuza na Kelele
kusema mshasema kutenda bado hamtendi wow
Nika Zakayo Hatosheki na Ushuru
Na hii Bill ina Finance wake zao jamani
Hatuoni Nuru Gizani
Kelele za Chura matazipiga hadi lini
Hadi Mkate inatozwa Ushuru
Afadhali tunge baki na Uhuru
Hata bila Baba maandamano is the new norm
Si tumechoka ka wakenya tushaona Mbele
Hakuna kazi twa pambana mjini
Zakayo na wenzako mtatufinya hadi lini
Mnatuchanganya na Maombi na Mtendi
Tumesha Chanuka so Ujinga hatupendi
Juu nakumbuka manifesto za upuzi
Haikuwa mbali jamani ilikuwa Juzi
Tulipiga kura na Sera nyi mliuza
Mkachaguliwa na sasa sisi twalia
Si tumechoka now we really need a change
Na ka vijana acha si tu flip the page
Wengine ma Pretender ka ule Madam Orwoba
Pads mnatax Walai hamna adabu
Wakenya tushachoka na hizi Story za Jaba
Wengine si ma leader ni watoto its a deeper mess
Na leader kama Ruku ana propose a bill
Tusiprotest on the streets na wanatu kill
KJ maandamano tu si fake
Tuna occupy the streets juu hii bill inatu kill now
Na kila photo tuni real ka hujui
Usitubebe ka mafala jamani si tumechoka
After maandamano maybe central ndo the new home
Si tumechoka na ushenzi its a deeper mess
Hata Zam Zam anajua twa umia
Hata Cancer mnatax tumechoka sisi
I make content for a living though you wanna kill it
Hakuna kazi hii Ushuru tutalipa vipi
Mlisema kazi kwa vijana pesa kwa Wazee
Sahii ni kazi kwa wazee pesa kwa wazee
Na Eco levy ina tungoja hope we make change
Mshaziuwa ndoto zangu za ku buy range
Hadi Mpesa mnataka Ushuru
Tukona haki lakini hatuna Uhuru
Na 2027 bado inawadia
Its high time ka vijana si tu make a change
I hope we choose leaders wata fanya kazi
Isiwe tribal though ma leader wata make a difference
Hii ni waraka ifikiye tu Zakayo
I hope sita potea kama Enzi za Nyayo
Na 2027 bado inawadia
Its high time ka vijana si tu make a change
I hope we choose leaders wata fanya kazi
Isiwe tribal though ma leader wata make a difference
Hii ni waraka ifikiye tu Zakayo
I hope sita potea kama Enzi za Nyayo
Vijana msilale
Lale lale
Vijana msilale
Bado mapambano
Mapambano Mapambano
Bado Mapambano Mapambano Mapambano
Bado Mapambano Mapambano Mapambano