Nairobi (Shamba la Mawe) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Ah Nairobi nairobi bila connection hakuna kazi
Si tuko shamba la mawe lakini tuta vuna lini
Nairobi nairobi bila connection hakuna kazi

Wengi tulidhani tuki graduate
Si tuta pata kazi
Iwe furaha kwa mzazi
Tena tuishi mjini
Sasa tume kwama bila motivation
Hakuna kazi mtaani
Si kupenda kwetu jamani
tunaishi na imani
Nairobi nairobi bila connection hakuna kazi
Si tuko shamba la mawe lakini tuta vuna lini
Nairobi nairobi bila connection hakuna kazi
Si tuko shamba la mawe lakini tuta vuna lini
Ni funny ma degree zime lala ka ni kazi
Nasaka kila corner
Ukiulizwa wee Nani jamani
Kabla gani na umetoka wapi
Hakuna kazi mtaani
Sikupenda kwetu jamani
Tunateseka mjini
Tunaishi na imani