![Siko Sure ft. Nadia Mukami](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/14/44baec36cb4b494ca718ca3d4007729eH3000W3000_464_464.jpg)
Siko Sure ft. Nadia Mukami Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
Lyrics
Siko Sure ft. Nadia Mukami - Darassa
...
Siko sure kama naakupenda tena
Ngoja ninywe pombe nione kama ntakumiss
Siko sure kama nakufeel tena
Ngoja ninywe pombe nione kama ntakukiss
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Mahaba (eh) mapenzi (oye) ona sitaki
Afadhali nimpende alo nizaa
Sina wakuniita
Chi chi mama nami chi chi baba (aebo)
Chi chi mama name chi chi baba
Chi chi mama (aebo) nami chi chi baba (aebo)
Chi chi mama (aebo)name chi chi baba
Siko sure kama naakupenda tena
Ngoja ninywe pombe nione kama ntakumiss
Siko sure kama nakufeel tena
Ngoja ninywe pombe nione kama ntakukiss
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Labda umehitimu stasheni na kuzingua
Maybe umekuwa na offsheni ya kuchagua
Au imeingia fasheni nisiyoijua
Maana niko kwenye cheni nasuasua
Nimejaribu kuributi bado system inakushigushi
Firi zako zenyewe nizakuboosti
Ni kama unavuta sigara stigo haikupi
I do my best nakwenda race
Naonekana nimeshafeli test
Naona kinoma noma unanichase
Kosa sio kosa unashtakiwa case
Na mimi bado nakupenda
Bado naona tunaweza kwenda
Na tunayo nafasi yakuyachenga
Chanel yetu imeingia chinga
Siko sure kama naakupenda tena
Ngoja ninywe pombe nione kama ntakumiss
Siko sure kama nakufeel tena
Ngoja ninywe pombe nione kama ntakukiss
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure kama naakupenda tena
Ngoja ninywe pombe nione kama ntakumiss
Siko sure kama nakufeel tena
Ngoja ninywe pombe nione kama ntakukiss
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe