![Neema ya Mungu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/27/39afcd12cc3040988b29abe3c36d7cd7H3000W3000_464_464.jpg)
Neema ya Mungu Lyrics
- Genre:Kids
- Year of Release:2024
Lyrics
Neema ya Mungu - Paul Clement
...
Neema ya MUNGU -Paul Clement
......
Gharama aliyoingia MUNGU
Kwa kutupata sisi ni kubwa
Akamtoa Yesu mwanae
Si mwanae tu bali wa pekee
Gharama alitoingia Yesu
Kufa kwa ajili yetu ni kubwa
Akamtii MUNGU baba eeh
Si babae tu bali wa pekee
Torati ilikuja na Mussa
Neema ilikuja na Yesu
Torati ilibido tulipie
Kwa neema tumelipiwa bure
KIITIKIO
Neema ya MUNGU(bure tumepewa)
Bure tumepewa (bure tumepewa)
Neema ya MUNGU (bure tumepewa)
Bure tumepewa (bure tumepewa)
Neema ya MUNGU (bure tumepewa)
Bure tumepewa (bure tumepewa)
Msamaha wa MUNGU eeh (bure tumepewa)
Bure tumepewa (bure tumepewa)
Alitupa neema yake bure
Ila yeye aliingia gharama
Ili mimi na wewe tuipate
Gharama ya damu yake mwanae
Sio kwa matendo yetu tena
Kwa neema yake tunasimama
Sio kwa juhudi zetu tena
Kwa neema yake tunasimama
KIITIKIO
............
Hatukulipia neema hii
Tumepewa bure neema hii
KIITIKIO