![Tumia](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/11/4b9a246fe9714ac4b87eaa1e18284201_464_464.jpeg)
Tumia Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Tumia - The Mafik
...
the mafik) .......... . sound by ... tumia ziku zoee×2 thanks god for the bless thank god for another day thank god napumua adui yangu asalam aleykum sa ndo nini kunisemea pembeni sa ndo nini kukumbushia madeni si nitalipatuu leo niachen nienjoy talipa tu aaaaaaaa mmmmmh demu wang mchawi nikificha hela ndani zinayayuka akiona kibunda anaweuka mmmmh ananicha nganya ananichangany huyo aaah usiibe niombe vitagongana vikombe mboga mwenzake tonge sa jichanganye nikutoo mungu kamuumba mwanaume mwanaume kazi huna pesa mungu kamuumba mwanamke ili kuzila hizo pesa ( aaaaaah tumia tumia tumia zikuzoeee)x2 baba tumia tumia tumia zikuzoee mama tumia tumia tumia zikuzoee kila mtu na maisha yake kimpango wake tusipangiane tarehe mbuzi hula urefu wa kamba yake ndio halali yakeee kila mtu na chake muelewe kwann nilikuwa munyonge napesa za kwangu mwenyew kwann nisiwe kibonge wakati nakula mwenyew niachenii ooooh niachen ananichanganya ananichangany huyo usiibe niomba vitagongana vikombe mboga mwenzak tonge sa jichangany nikutoo mungu kamuumba mwanaume mwanaume kazi huna pesa mungu kamuumba mwanamke ili kuzila hizo pesa (aaaah tumia tumia tumia zikuzoee)x2 baba tumia tumia zikuzoeee mama tumia tumia tumia zikuzoeee .........................