![Tunaanza Na Mungu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/22/92fb5be5775d44eca6c485645b48ec19_464_464.jpg)
Tunaanza Na Mungu Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Tunaanza Na Mungu - The Mafik
...
(instumental).....
(Bridge)
(oho.... oho.... oohooooooo
ohohoooo.... oohooooo)×2
Naanzaaaa na Mungu (God is my first one)
Mimi ni wa Mungu (God is my first one)
Tunaanza na Mungu (God is our first one)
Sisi ni wa Mungu (God is our first one)
(Verse 1...)
Unikuu...mbushe kuuanzaaaa na wewe
Maana kukujua wewe ni chanzo cha maarifa
Ninapote...mbea niongozweee na wee
Katika safari yanguu utanifikisha aah
Ziongoze nyayo za miguu yangu
Shughulika na watesi wangu
Maana we ndo nuru ya maisha yangu
Na kila ulichokiahidi, kitakuwa changu... oouuuuuh
(Verse 2....)
If God oo wish ooh
One day you be superstarrrr (superstar)
If the God bless ooh
Utaheshimika kwa mtaaaaaa
Mtangulize Mungu atakushangaza
Muamini yeye atende muujizaaa, mtangulizeeeeeee
(Chorus)
Ninaanza na Mungu (God is my first one)
Mimi ni wa Mungu (God is my first one)
Tunaanza na Mungu ( God is our first one)
Sisi ni wa Mungu ( God is our first one)
(Instrumental....)
(Verse 3...)
Ni..anzaaapo siku yangu, nitaanza na wewe
Nifanyaaapo jambo languuu
Nipata...poooo shida zangu
Nakuweka mbele Baba (huuuuuh)
Hapo mwanzo nilifeli, kwakuwa sikuanza na wee
Hapo mwanzo nilishindwa, kwakiwa sikukufuataaa
(Ila leooo (leo), leooo ( leo), naanza na wewe)×2
(chorus....)