- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Niue - The Mafik
...
The mafik Aaahhhhh Haka ka dada nakazimia haka kabinti katamu tamu, haka kashori nitakachumbia, yaani kana bidii kako bambam 🥰 mmmhhh laini laini akinishika uroto uroto, hanipi vya baridii anipa vitu vya moto vya moto, (aahhhhhh hayaa nifanye utakavyo Mmhh haya nifanye upendavyooo aaahhh Ahhhh nigaragaze NIUE mmhh nigaragaze NIUE) oyaa she touch my heart ♥️ my body my soul x2 ……………………………………..eeeehhh ulivyo mcute darlin wallah napata homa na vile unavyo smile akyanani we ni nomaaaa the you call me daddy (napenda) the way you call me babii na vile tukifanyaa mmhhhhh ooohhhh ahhh Ahhhh Anavotembea kwa mikogo wanajigonga paka vigogo akipendeza sio kidogo akipita lazima wageuze visogo……aaahh don need nobody yes!!!! Na nitamng’ang’aniaa atawanibeze we nigaragaze (aahhh ahhh nigaragaze NIUE!!!! Waniweke kamba shingoni Nigaragaze (Oohh baby) NIUE). (Oyaaa she touch my heart my body my soul)x2 I don need nobody ni wewe umeniweza e no noo noo…..and I don need nobody ni wewe umeniwe we weee (aaahhhh nigaragaze niue nigaragaze niue). The mix killer………. Lyrics by SHEY THE CHOOSEN ONE ☝️
Similar Songs
More from The Mafik
Listen to The Mafik Niue MP3 song. Niue song from album Niue is released in 2024. The duration of song is 00:03:15. The song is sung by The Mafik.
Related Tags: Niue, Niue song, Niue MP3 song, Niue MP3, download Niue song, Niue song, Niue Niue song, Niue song by The Mafik, Niue song download, download Niue MP3 song
Comments (11)
New Comments(11)
CuteLeegjr7w
176377757
Hatari
Yolamucvsf2
[0x1f60e][0x1f60e][0x1f627][0x1f636]
Joachim Raphael Kamuli
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Joachim Raphael Kamuli
kali sana
Sheylah tommy
Keep it
Sheylah tommy
Nice song
bhaifuadi
Fr
Tony Ruta
ngoma kali[0x1f621]
diego tb bebe
ngoma kl san
Maneno Jr
Ngoma Kali [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
my fav song after tunaanza na Mungu..then tumia then wadudi..♨️♨️♨️