![Wabebe ft. Gwaash & 34 GVNG](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/06/5f26e4d425be4d3eb61aca5ea4bab3a7_464_464.jpg)
Wabebe ft. Gwaash & 34 GVNG Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2019
Lyrics
Hitman Ting Hitman Ting
Badman Ting Badman Ting
Hitman Ting Hitman Ting
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe, si ujibebe
Dem yangu anadai tu matembe
Niko fete, nimejisete
Amjibeba, usimueke
Niko East kwa mabeast
Na manjege wako on
Amejibeba ako fine
Sura nzuri amevai
Kwani nini? uko hai
Piga moshi ukuwe high
Ikiweza toa kutu uzirai
Ukimwaga skia fine
Kazi safi inadai
Watoto wawili tunadai
Njoki Nduta na Wamai
Iko nini? uko fine
Young Retro walai
Uko maji haidai
Ntakukata walai
Tumewabeba walai
Ngoma mbili zinadai
Nikimada sema Hi
Kwa Vuva na Rai
Tumewabeba walai
Ngoma mbili zinadai
Nikimada sema Hi
Kwa Vuva na Rai
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
That girl she a bad and she know
Cheki vile amenimurder SheeRow
Like a snake body gal there she go
Dogo dogo baby ka Kinyonga
Mi napenda vile haga inasonga
On the floor kwanza beat ikigonga
No lie fine gal umeniroga
Umestand ka matatu tu za Ronga
Nakubeba everywhere mi ndo donda
Wacha Kubonda
Tunawatoka
Wanachoka
Wanabaki wakislim wakikonda
Waskie tu maouch tu vidonda
Tunawatoa mbio mbio kama honda
Pewa makali wanatoa mpaka njeve
34 tunakujanga na rende
Boy Vuva tu na Gwaash na B Razor
Big tune kwenye club wanacheza
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Toka Tao hadi Doni nawabeba mbao mbao
Hao hao nawabeba hadi hao
Nao nao juu juu ka karao
Beba Shhh.. ndio tuwashe angalao
Nina heshhma so sipendi madharau
Ni yeye na yeye hadi tutoe njeve
Trouser bila belt umebeba mizigo kama mama wa Gikomba Wah
I swear nikimcheki nina melt na
Ako aware leo usiku nitatesa
No fear ju nimejipin na maCD kama DJ, no sweat
Usiku bila vest, no dress
Game pole pole kama chess
Na after that ntakubeba kila place
Queen na crown we ndo empress
Pesa mingi nimebeba nikuimpress
Nina interest kwako nishainvest
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah
Wabebe Skilooo
Wabebe Waskie Ah Ah