Taniua ft. 34 GVNG Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2020
Lyrics
Hitman Ting Hitman Ting
Badman Ting Badman Ting
Na kwa ground vitu different hawa kwela taniua
Na kwa ground vitu different hizi vela taniua
Hawa makwela nawatoka tu kimatrix
Buda nimechill ka Netflix
Kila corner wanadai tu mechi
Walitii Olunga vile mi ni Messi
Taniua hawa kwela si ni hessy
Taniua hizi vela na makesi
Shukuru Mola vile mi ni mtu Chelsea
Ju Man U siku hizi tu ni jezi (Hahahahaaa
Skylarking, nachapanisha ngeus Benzema ameeka parking
Real shit nigga, no acting
Man a badman original no sampling
Na kwa ground vitu different hawa kwela taniua
Na kwa ground vitu different hizi vela taniua
Na kwa ground vitu different hawa kwela taniua
Na kwa ground vitu different hizi vela taniua
Fff....Freaky gal anadai tuget physical
She so fine body nice anadai kureporti
Rumours agwaaan ati nilikuwa na Nicole
Sare urazi na udaku za ploti
Mi humcheki tu mtaa she so fine
Jegi chiek sianda chiek, she's so ripe
With her big bompaa ni kuzirai
Big tings agwaan ndio zinadai
Top shatta siwezi hata (No sir
Compee ni nare kubanja kula kashata
Cheki paja tako matata
Combi nare ivisha rangi na haga
Na kwa ground vitu different hawa kwela taniua
Na kwa ground vitu different hizi vela taniua
Na kwa ground vitu different hawa kwela taniua
Na kwa ground vitu different hizi vela taniua