![Sambusa ft. Wanati](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/06/75739961ea3d4fa780b7c4982505ea11_464_464.jpg)
Sambusa ft. Wanati Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2019
Lyrics
Hitman Ting Hitman Ting
Badman Ting Badman Ting
Hitman Ting Hitman Ting
Taniua Manabadman Tiingg
Namdara kabisa ndio nimtoe joto
Ndani ya na usitie roho
Hadi kanisa nakatia poko
Ukipakisha nakupiga koto ama
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (aih
Ni ma bam kubwa zinabambuka
Ni ma bam kubwa zinabambuka
Na ukilia machozi pangusa
Na ukilia machozi pangusa
Addi Chokoch Rada Gani?
Dada kamata, sista kata
Chuna chuna fudhi ukitumia nail cutter
Dada kamata, sista kata
Makejani tukiskiza DJ Kata
Kuna ukame ya nyap kijijini
Wakomi wasomi hadi majini
Mashoshe mafyat wako dukani
D kingpin toka Southee
Kunanyesha damu mabatini
Magalem wako juu mitini
Maboydem wako chini interpwakaring
Aiii ni maringding
Namdara kabisa ndio nimtoe joto
Ndani ya na usitie roho
Hadi kanisa nakatia poko
Ukipakisha nakupiga koto ama
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (aih
Chura chura anataka tu kupigwa theshwa
Pura pura chura anadai tu Vanessa
Pura pura anapiga tu bila chaser
Sura sura ana nut Johny amemteka
Ah nakaokota kipongi
Inataka hadi OD
Cheki vile inacheza ina songi
Ai mi nateka tu hai Njoki ai
Nyap nyap wooh Nyap Nyap yeh
Tandika tandika tandika kinyap nyap
Nyap nyap wooh Nyap Nyap yeh
Tandika tandika tandika kinyap nyap
Nikona laha ndani ya loho, ndani ya loho
Laha ndani ya loho, ndani ya loho
Laha ndani ya loho, ndani ya loho
Laha ndani ya loho, ndani ya loho
Namdara kabisa ndio nimtoe joto
Ndani ya na usitie roho
Hadi kanisa nakatia poko
Ukipakisha nakupiga koto ama
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (aih
Afande weh hapa kuna kurutu
Aiyayaaa na ana kutu
Hapa ngweh ntakulia mtu
Dogodogo ntakula mututu
Ngeus wake hapa ye huniita boo
Kaa na nyege sitaki masaibu
Ka ni miss mi si Mr Ibu
Kana hanjam twende taratibu ah
Ni ma bam kubwa zinabambuka
Ni ma bam kubwa zinabambuka
Na ukilia machozi pangusa
Na ukilia machozi pangusa
Namdara kabisa ndio nimtoe joto
Ndani ya na usitie roho
Hadi kanisa nakatia poko
Ukipakisha nakupiga koto ama
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (eeeeh
Yes kidole Sambusa (aih