![Olunga ft. 34 GVNG](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/30/7756a41a004f4bae8c872eb85ee9da89_464_464.jpg)
Olunga ft. 34 GVNG Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Hitman Ting Hitman Ting
Badman Ting Badman Ting
Ka Olunga
Bao mbili tatu mi nafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Aye Ka Olunga
Bao Mbili Tatu menafunga
Aye Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Na kama Ross, siezi kuwa tu tribal
Lugha joh ni pesa buda joh mi ni tribe all
Nina side kwa keja na main anadai call
Wanjiru and Akinyi wanadai ball
Na me ndio Messi hakuna pass me nafunga
Hakuna Harambee mi si Olunga
All welcome lakini si kwa chakula
Rada ni masocialite chorea joh machura
Tuliwamurder Shee-Row
Pale Wabebe Skillo
Zikashika zikanice utadhani Zzero
Hitman Badman kare koth ero biro
Koth ero biro kare koth ero biro
Came a long way from dislikes and blueticks
Tangu Get a Tako wakadai kuget kiss
Tuliget ass sahii wanagive tits
Wanadai beng na nimechill kuliko netflix, Aye
Ka Olunga
Bao mbili tatu mi nafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Aye Ka Olunga
Bao Mbili Tatu menafunga
Aye Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Ka Olunga aye ni ka Olunga
Cheki freshi luku me nadunga tu adida
Nikipiga show joh mangeus wanawika
Sianda fiti jegi fiti zinadai
Wote wakipull up wako sexy wamevai
All I say is how are you you can say youre fine
Nimechangamka ukidai extra time
Zimeshalipuka cheki flow ikinuka
Watu wanabanjuka
Wanashika ukuta
Ni Njoki na Nduta wamejaza mafuta
Piga left piga right huezi daka
Top striker kila mtu anakatwa
Mi nawacha hadi kipa amedata
Pull up with gang we real don dada
You can love it or you hate it dont matter
Skiza ngoma we zitoke ikibamba
Toka Wabebe walibaki waki ah ah
Ka Olunga
Bao mbili tatu mi nafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Aye Ka Olunga
Bao Mbili Tatu menafunga
Aye Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Nafunga tu mabao
Wanadhani mi ni wao
Kwanza vile imeweza wanafaa kulipa thao
March kwenye beat ka afande hajalipwa
Nafunika tu marapper itabaki mmezikwa
Tingisha tu diaba usiogope kuzianika
Tupate kwa kiwanja tunatema si kubanja
Amechora saba mi nakuja tu na rubber
Niite tu Olunga nimekuja tu kufunga
Weka fiti mi nadunga
Huyo ni wako mi nasunda
Washa shada mi navuta
Toka Runda hadi tao
Imebaki wamembao
34 ndio tuna mao
Tunazitoka tu hadi moro
Ni watiaji na wasoro
Itabaki mmetii
We ni mbleina pigwa zii
Me nawapa tu ka D
Toka Donii hadi D (Uuuuwwwee
Ka Olunga
Bao mbili tatu mi nafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Aye Ka Olunga
Bao Mbili Tatu menafunga
Aye Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup