- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Burudani - Jomireso voices Tz
...
Chorus
Tunapojivika nguo za thamani hata tunasahau sisi ndio udongo,tunapokua nazo sherehe kila siku burudani burudani burudani kumbe ni mizoga ilopokwa mafuta siku sio nyingi tutaiaga dunia(times2)
Verse 2
Ukiyatazama mazuri yake ukimsujudia mwisho ni kifo tuu
Amewateka wengi na kuwaua kwake bila wao kutambua njama zake lengo lake wapotee bila tumaini kuu yeye aliewakomboa msalabani(Times2)
Chorus
Nimeshafahamu wazi sasa ya kwamba hii dunia ni ganzi inalemaza wengi ,,imepakwa rangi zinazopendeza sawa na kaburi lilopakwa chokaa ,,kumbe ndani yake mifupa ilochakaa.
Tunapojivika nguo za thamani hata tunasahau sisi ndio udongo,tunapokua nazo sherehe kila siku burudani burudani burudani kumbe ni mizoga ilopokwa mafuta siku sio nyingi tutaiaga dunia(times2)
null
null
see lyrics >>Similar Songs
More from Jomireso voices Tz
Listen to Jomireso voices Tz Burudani MP3 song. Burudani song from album Burudani is released in 2023. The duration of song is 00:05:46. The song is sung by Jomireso voices Tz.
Related Tags: Burudani, Burudani song, Burudani MP3 song, Burudani MP3, download Burudani song, Burudani song, Burudani Burudani song, Burudani song by Jomireso voices Tz, Burudani song download, download Burudani MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Elias simion 60x
Deleted User
Jo Mireso to the world. God bless you[0x1f60e]
Eduu Boy
[0x1f630]
Good