![Usiniache ft. Phina](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/20/39fb9c0c4afb40b48c26b24c0b48adba_464_464.jpg)
Usiniache ft. Phina Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Usiniache ft. Phina - Jay Melody
...
"GeniiXdouble6"
"jay once again"
"the melanin queen"
kukaa mbali ndo naogopa naogopa nitanyang'anywa
kwa penzi lako hata kusota yani nitasota nita ng'ang'ana
kwenye hii dunia heritage ningekuona wa kwanza
haya ninayo kwambia natamani nishike kipaza
kama mzigo umeniokota kwa maan nilishatupwaga
kuwa nawe nahisi ka naota kwa jinsi unavyo nipa
unavyonikoroga ukinipa hunipi mara moja
issh mara kwenye sofa mara baby kalia kigoda
oooh usiniache mimi usiniache mimi usiniache mimi usiniache mimi
usiniache mimi usiniache mimi usiniache mimi usiniache mimi
aaah aaaah aaaaah oooh oooh aaaah ooohohhh
kama ni maua basi ua rose penzi lina meremeta
nikikufikilia inakuja njozi usiku mzima nakuota
pendo lako Noma lishanchoma cha ajabu yan hata siumii
masikio umetoboa ngoma maneno maneno wala sisikii
oouuwoohh kama nikuzama nishazama waje waniokoe na boti
kwenye kina kirefu nishakwama utulivu hata siogopi
unavyonikoroga ukinipa hunipi mara moja
issh mara kwenye sofa mara baby kalia kigoda
oooh usiniache mimi usiniache mimi usiniache mimi usiniache mimi
usiniache mimi usiniache mimi usiniache mimi usiniache mimi
hata nifanye nn usiniache..... usiniache mimi ooouwooh
hata nifanye nn....... usiniache mimi ooouwooh
oooh once again oooh once again nifanye nn....