
Alhamdulillah
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Alhamdulillah - Marioo
...
Story of my love it’s over Yani moto juu ya moto
Story of my so far hayakunifire
Nilipotoka ukimwaga mboga wanamwaga ugali wanatoboa na sufuria
Nilikotoka pilau na soda mkila mjue ni siku ya sikuku
Nilipotoka ukimwaga mboga wanamwaga ugali wanatoboa na sifuria
Nilipotoka oka mchongo runinga tv kwa jilan mpaka ukanawe miguu
Mama single mother shule sijasoma,ila mtaa ulinifunza kupambana,niko mi na mother
Madeni kila kona kama movies ooh
KIITIKIO
Allahamdulillah atukufuru Mungu ,Sasa ivyi tukonazo,chapat na marage ndio imeleta doo
see lyrics >>Similar Songs
More from Marioo
Listen to Marioo Alhamdulillah MP3 song. Alhamdulillah song from album The Godson is released in 2024. The duration of song is 00:02:59. The song is sung by Marioo.
Related Tags: Alhamdulillah, Alhamdulillah song, Alhamdulillah MP3 song, Alhamdulillah MP3, download Alhamdulillah song, Alhamdulillah song, The Godson Alhamdulillah song, Alhamdulillah song by Marioo, Alhamdulillah song download, download Alhamdulillah MP3 song
Comments (33)
Top Comments (2)
Last King40
ALLY MIRAJI37ay1
[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]>
New Comments(33)
Adam Chiposi
kaka ww kujua nakubali sana
igweeee igweee unajua sana omary
Hon kiza
noma sanaaaaaa [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
sallysam8w540
nice
Jack-line
❤️❤️
171612195
Mungu anazidi kutubaliki kila kukikucha nasi tutafikia malengo yetu ila we bro unakimbiza balaa mungu azidi kukuweka nasi tuzidi kusikia sautu yako na misitari yako coz n balaaaaa
MrGod
maisha matamu
GAROSI MSWILA
ssana una kiwasha kaka[0x1f604][0x1f605]
182625507
[0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636]
George Abuka
hatari
aleni nertiwek
nakubali kk unawauwa
tuondokeee mzee [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]>