![Nahodha](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/20/39fb9c0c4afb40b48c26b24c0b48adba_464_464.jpg)
Nahodha Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Nahodha - Jay Melody
...
aaaah
aaaah
taharuki ndani kumefifia mizozo balaa aibu kulia
sio kawaida tumesikia nahodha wa meli ety kukaa nyuma
oooh husda imemnyima,oooh barafu kwenye mtima
oooh hasikilizwi kauli , oooh na ye ni mtu mzima
kwani yuwapi nahodha,yuwapi nahodha,yuwapi nahodha chombo kinazama,yuwapi nahodha, yuwapi nahodha, yuwapi nahodha chakwenda mrama
yuwapi nahodha *3 chombo kinazama
yuwapi nahodha *3 chakwenda mrama
...
na Siri za ndani kuhadithia, shoga katamani jamvi Ka kalia
udugu wa amani tulifikia hisia chomboni mwishowe twazamia
oooh kabla ya kupenda pima,oooh wapenda Kwa akili nzima,oooh usiwe mchimba kisima oooh ukatumbukia mazima
yuwapi nahodha *3 chombo kinazama
yuwapi nahodha *3 chakwenda mrama