![Katika](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/20/39fb9c0c4afb40b48c26b24c0b48adba_464_464.jpg)
Katika Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Katika - Jay Melody
...
JAY MELODY-- KATIKA (therapy)
...........................
sifa zake kila kona mimi nimezisikia nataman kumuona machache kumwambia
kwel nmetembea sjawai ona km yey sifa anazogewa mpk nijionee mwenyew
mwenye uzuri wa macho ako wapi "tumuone"
uko nyuma kafungasha ako wapi "tumuone"
atuoneshe alichonacho ako wapi "tumuone"
kiuno anavyokata ako wapi "tumuone"
KATIKA KATA KATIKA KATA KATIKA KATA KATIKA KATA
"kiuno" KATIKA KATA KATIKA KATA KATIKA KATA
......................................
kweli kua uyaone hii dunia ina mengi
sasa nimeshaelewa kwamba kwann vijana hatujengi
ukistaajabu ya mussa utayaona ya filauni
yani kama anasusa anavyocheza kihuni
nyuma allivyoangusha udambwi dambwi zigo nyangumi
yani kama anasusa anavyocheza kihuni
mwenye uzuri wa macho ako wapi "tumuone"
uko nyuma kafungasha ako wapi "tumuone"
atuoneshe alichonacho ako wapi "tumuone"
kiuno anavyokata ako wapi "tumuone"
KATIKA KATA KATIKA KATA KATIKA KATA KATIKA KATA
KATIKA KATA KATIKA KATA KATIKA KATA KATIKA KATA
"amekupa mama" KATA "wala si cha kuazima" KATA
"kiuno chako mwenyewe" KATA "eeh mguu mmoja" KATA
"kama unainama" KATA "aty unatetemesha" KATA
"mhh amekupa mama" KATA "kiuno chako mwenyew" KATA
.............KAMIX LYZERRRR.............