Unanimaliza Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Unanimaliza - Jay Melody
...
pendo lisilo kinai kama wahindi mumbai
nimezidiwa wallahi nalainishwa mkate kwa chai
naona raha tu ukifurahi macho hako ndo aii
mitego yao sijali nimeamua sa ndege sipai
your my lover mwenzako napenda when you kiss me when you touch me mwenzako napenda
am crazy for your love je wewe kuweza
nishazama mapenzini penzi La niweza
baby mwenzio unanimaliza mi mwenzio unanimaliza
sweetie mwenzio unanimaliza mi mwenzio unanimaliza
...............................
nilipo napewa raha za pwani sio siri jamani hakuna kulala
sa ndo nini hivyo kunichanganya honey fasta ka cherani utanipa lawama
basi mi nguvu nakua sina mambo kwa ndani ukifinya ukfnya bby ukfny
kindoo nashindw kumimina sabab mi nguvu nakua sina ukfnya bby ukifnya
your my lover mwenzako napenda when you kiss me when you touch me mwenzako napenda
am crazy for your love je wewe kuweza
nishazama mapenzini penzi La niweza
baby mwenzio unanimaliza mi mwenzio unanimaliza
sweetie mwenzio unanimaliza mi mwenzio unanimaliza
(ooh mwenzio unanimaliza, mi mwenzio unanimaliza)