Bwana U Sehemu Yangu (A Cappella Version) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Bwana u sehemu yangu
Rafiki yangu Wewe
Katika safari Yangu;
Tatembea na Wewe
Pamoja na wewe
Pamoja na wewe
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Mahali hapa sikutaka;
Ili Niheshimiwe;
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe
Pamoja na wewe
Pamoja na wewe
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Niongoze safarini,
Mbele Unichukue;
Mlangoni Mwa mbinguni,
Niingie na Wewe
Pamoja na wewe
Pamoja na wewe
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.