Mlinzi Wangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Bwana wewe umlinzi wa maisha yangu
Bwana wewe umlinzi wa maisha yangu
Nijapo pitia chini ya uvuli wa mauti
Ewe Bwana ninakutegemea
Sitakufa moyo, sitaogopa kamwe
Ninajua, unani pigania
Maisha yangu, ninaayatoa kako
Kwani wewe umlinzi wangu
Kwani wewe umlinzi wa maisha yangu
Kwani wewe umlinzi wa maisha yangu
Mkono wako Baba haunakipimo
Ulinipenda kabla nikujue
Ulimtuma Yesu aje anifilie
Ili niweze kupata uzima
Maisha yangu, ninaayatoa kako
Kwani wewe umlinzi wangu
Kwani wewe umlinzi wa maisha yangu
Kwani wewe umlinzi wa maisha yangu