
Nakutegema Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Nainuwa macho yangu
Natazama milimani
Msaada wangu watoka wapi
Msaada wangu Nikwako Bwana
Nakutegemea we, Nakutegemea we
Nakutegemea we, Nakutegemea we
Yesu, nakutegemea we, Nakutegemea we
Nakutegemea we, Nakutegemea we
Nainuwa macho yangu
Natazama milimani
Msaada wangu watoka wapi
Msaada wangu nikwako Bwana
Nakukimbilia we, Nakukimbilia we
Nakukimbilia we, Nakukimbilia we
Yesu, Nakukimbilia we, Nakukimbilia we
Nakukimbilia we, Nakukimbilia we
Nipitapo chini ya uvuli wa mauti
Ewe Bwana wanihifadhi
Nipatanapo na maovu, eh,eh,eh,eh,eh
Ewe Bwana u mlinzi wangu
Waniandalia meza mbele ya adui zangu, eh
Ewe Bwana wewe wanijali
Kwa maisha yangu tegemeo langu li kwako
Ewe Bwana wewe wanitosha
Yelele papa we. yelele papa we
Yelele papa we, yelele papa we
Nakutegemea we, Nakutegemea we
Nakukimbilia we, Nakukimbilia we